Home » » JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LANASA KOBE 70 WALIOTAKIWA KUSAFIRISHWA KINYUME CHA SHERIA

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LANASA KOBE 70 WALIOTAKIWA KUSAFIRISHWA KINYUME CHA SHERIA


Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma David Misime akionyesha waandishi wa habari wanyama aina ya kobe zaidi ya 70 waliofungwa kwenye mifuko ya Salfet waliokuwa wamekutwa kwa Moses Nyawaje 42 akiwa anataka kuwasafirisha kinyume cha sheria.
Picha na John Banda, Dodoma

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa