Home » » MFAHAMU MAMA SHUJAA WA CHAKULA KUTOKA MKOA WA DODOMA ANAYETARAJIA KUINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS SIKU YA JUMAPILI WIKI HII!

MFAHAMU MAMA SHUJAA WA CHAKULA KUTOKA MKOA WA DODOMA ANAYETARAJIA KUINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS SIKU YA JUMAPILI WIKI HII!

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

LEAH DOMINICK MNYAMBUGWE (52) mkazi wa Dodoma Mjini namba yake ya ushiriki ni MS 03, yeye ni mkulima na mfugaji ana shamba la ukubwa wa ekari 21.

ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu mifugo insaidia kupata kipato pia kuelimishana kuhusu ufugaji wa kisasa na kupata mazao bora. "Nina shamba lenye ukubwa wa ekari 21. Kwa mwaka ninavuna mazao gunia 40 na ninapata lita 1,460 za maziwa"
 MAISHA PLUS/MAMA SHUJAA WA CHAKULA

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa