Home » » PICHA ZA MATUKIO YA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

PICHA ZA MATUKIO YA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
PG4A6375Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na  Waziri wa Nchi Katika Idara  ya Nishati  na Mabadiliko  ya Tabia Nchi wa Uingereza, Mhe.  Gregory Baker (Minister of State at the Department of Energy and Climate Change), Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 14, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A6382Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika kikao cha Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma,Aprili 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A6428Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt, Seif Rashid (kushoto) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa Zamani, Andrew Chenge (katikati) wakiteta kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa