Home » » TAZAMA PICHA ZA MATUKIO KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO.

TAZAMA PICHA ZA MATUKIO KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) akibadlishana mawazo Mjumbe wa Bunge hilo Rashid Mtuta (kushoto) leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha asubuhi.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili katika ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma kwa ajili ya kuendelea na mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Costa Mahalu (kushoto) na Profesa Mark Mwandosya (kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuanza mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiwasili kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili kuendesha na kusimamia mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha asubuhi.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiongoza dua ya kuliombea Bunge na Taifa kabla ya kuanza mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha asubuhi.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Bunge hilo leo mjini Dodoma wakati wa mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakishiriki dua ya kuliombea Bunge hilo leo mjini Dodoma kabla ya kuanza mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya. picha na Bunge Maalum la Katiba- Dodoma

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa