Home » » KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA MKOANI DODOMA.

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA MKOANI DODOMA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA  TAASISI ZILIZO CHINNI YA OFISI YA WAZIRI MKUU MKOANI DODODMA LEO 12  MEI 2014
Wakurugenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu waki kagua moja ya Mradi  uanao tekelezwa na ( CDA) Miradi hii nikatika   mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN).
 
(Na  Mwandishi Ofisi ya Waziri Mkuu)
Uongozi wa ngazi ya juu wa Ofisi ya Maziri Mkuu watembelea Miradi mbalimbali ya maendeleo inayo simamaiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Akizungumza na Wakurugenzi wa Idara na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu  Dkt: Florens M. Turuka  amesema lengo la kutembelea miradi ni kujionea mwenywe yeye na Wakurugenzi na wakuu wa Taasisi ili kuweza kujiridhisha na mana ya uwendelezaji wa Miradi hiyo inayao simamiwa na Serikali.

Katibu Mkuu Ofisi ya waziri Mkuu Dkt : Florens M Turuka  wa (katikati)  akitoa  maelekezo kwa Wakurugenzi wa OWM  walipo tembelea eneo la mradi wa Makaburi ya Viongozi  katika eneo la  Mlimani .

Miongoni mwa miradi iliyo tenmbelewa ni  Mradi wa Makaburi ya viongozi  ambapo mradi huu uko katiaka hatua za Mwisho za kukamilisha kuwalipa fidia wakazi wa eneo husiaka ili kupisha mradi huo uendelee .
Aidha pamoja na mradi wa makaburi pia waliweza kutembelea miradi ya upimaji viwanja vya makazi  na eneo la uwekezaji katiaka eneo la Njedengwa  njekidogo ya Manispaa ya Dododm unao tekelezwa na Mamlaka ya Uastawishaji Makao Makuu Dododma (CDA)
Naye kaimu Mkurugengenzi wa Mamlaka ya Ustawishaji  Makao Mkuu Dododma (CDA) Bw: Pascal  Murugiri  amesema mradi wa Njedengwa  umegarimu jumla ya ya kiasi cha Shilingi Bilioni 15 ikiwa kama mkopo kutoka benki hivyo nifursa sasa kwa wananchi  kuja (CDA) na kujipatia viwanja amabavyo viko tayari vikiwa na  huduma zote za msingi kama Barabara za lami Umeme na Maji.

Kaimu  Mkurugenzi Mkuu wa  (CDA) Bw: Pascal Muragiri  akitoa maelezo ya mradi wa Barabara unaotekelezwa na CDA kwa msaada  wa  Benki  ya Dunia   wanao wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu OWM Mkoani Dodoma


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa