Home » » Matukio kwenye Bunge la Bajeti mjini Dodoma

Matukio kwenye Bunge la Bajeti mjini Dodoma

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

PG4A8405
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta  na Mbunge wa Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, bungeni mjini Dodoma May 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PG4A8431
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, bungeni mjini Dodoma May 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PG4A8400
Mbunge wa Viti Maalum Pauline Gekul akiwa Bungeni.
PG4A8520
Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na mpambe wa Bunge kutoka ukumbini May 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

1 comments:

munj said...

seikali ya tanzania inaweza kuboresha maisha ya watanzania kwa kujenga/kufufua viwanda,kudhibiti mfumuko wa bei,kupunguza matumizi makubwa ya bajeti ya serikali,kukusanya kodi,kupunguza tatizo la rushwa lililokithiri,kuongeza uzalishaji,kwa ujumla kusimamia vizuri mapato na matumizi ya serikali na kupambana na wabadhilifu wa mali za umma,tuna kila sababu ya kuwa na maisha bora kwa watanzania maana nchi yetu imejaaliwa rasilimali nyingi na za kutosha na hatuna umasikini ambavyo kama inavyosemekana tanzania ni masikini na maendeleo yetu yanategemea misaada kutoka kwa wahisani.Mfano wa baadhi ya rasilimali tulizonazo ni,MBUGA ZA WANYAMA/HIFADHI ZA TAIFA,MISITU,MADINI,GAS,MAZIWA NA MITO,BANDARI,ARDHI KWA KILIMO,NISHATI MBALIMBALI,inashangaza sana kuona kwa rasilimali hizi bado maisha ya mtanzania yako duni ili hali yangeweza kuboreshwa kwa kiasi kikubwa mpaka sasa kuna wanafunzi wana uhaba wa madawati wakati tuna misutu ya kutosha ambayo ingetupatia mbao hivi kweli haya masuala hayajulikani au ndio ule usemi usemao aliyeshiba hamjui mwenye njaa ki ukweli ukikaa ukatafakari na kufikiria kwa kina hatupaswi kuwa masikini hata kidogo.Baraka zote tulizojaaliwa na mungu bado tunalia shida,t unawaomba viongozi wa nchi wakae waone huruma kwa taifa hili la tanzania maisha yamekuwa magumu sana,inawezekana ni ubinafsi wa viongozi wachache tunaona mifano ya mabilioni ya pesa yanavyopotea hali ya kuwa mtanzania mwingine anakula mlo mmoja kwa siku,viongozi wetu muwe na imani.

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa