Home » » Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda Bungeni mjini Dodoma

Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda Bungeni mjini Dodoma

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
PG4A0727
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Madiwani na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya  ya Kishapu mkoani Shinyanga kwenye ukumbi wa Spika .Bungeni mjini Dodoma Mei 27, 2014.Walipotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao, Suleiman Nchambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PG4A0674
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Moshi Vijijini, Cyrli Chami kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
PG4A0701
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na Mwandishi  wa habari mkongwe, Prince Bagenda kwenye viwanja vya  Bunge mjini Dodoma.
PG4A0710
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Maswa Mashariki , John Shibuda kwenye viwanja vya  Bunge Mjini Dodoma Mei 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa