Home » » NEWS ALERT: UPINZANI WASUSA NA KUTOKA BUNGENI

NEWS ALERT: UPINZANI WASUSA NA KUTOKA BUNGENI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 
Wabunge wa upinzani wametoka Bungeni mda Huu wakigoma kujadili na kupitisha Bajeti ya wizara ya madini na Nishati wakidai kwamba hataki kuusika kwa kitachotokea.Msuguano ulitokea pale ambapo kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe kusimama na kusema kwamba hii wizara inabidi igawanywe na kuwa mbili pia mda wa siku moja hautoshi kuijadili wizara hiyo hivyo wao hawaoni sababu ya kukaa na kuijadili.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa