Home » » Matukio ya Waziri Mkuu Pinda Bungeni mjini Dodoma

Matukio ya Waziri Mkuu Pinda Bungeni mjini Dodoma

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

PG4A1532
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Mawsali Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PG4A1583
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi  ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji  ambaye pia ni Mbunge wa Hanang, Dr. Mary Nagu, Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PG4A1718
Ndege akiwa kwenye zuria la Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PG4A1784
Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge Zainab  Kawawa wa Viti Maalum (kushoto), Sylivester  Mabumba wa Dole (wapili kushoto), Vita Kawawa wa Namtumbo na Mwanaharakati wa Haki za Wanawake na Watoto, Mama Terry Gbemudu (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa