Home » » BREAKING NEWS: WATU ZAIDI YA 14 WAMEFARIKI PAPO HAPO LEO KATIKA AJALI YA BASI LA MORO BEST LIKITOKEA MPWAPWA KWENDA DAR

BREAKING NEWS: WATU ZAIDI YA 14 WAMEFARIKI PAPO HAPO LEO KATIKA AJALI YA BASI LA MORO BEST LIKITOKEA MPWAPWA KWENDA DAR Baadhi ya Miili ya Marehemu muda mchache baada ya kupata ajali wakiwa wanangojea kupelekwa Hospitali.

 Baadhi ya wasamalia wema wakiwa wanaendelea kuokoa majeruhi na kuwaondoa waliofariki

Hivi ndivyo basi lilivyo Haribika

Fuatilia hapa 
Picha na Dodoma yetu Blog

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa