Home » » KUTOKA BUNGENI HII LEO MJINI DODOMA , MWANASHERIA MKUU AAPISHWA

KUTOKA BUNGENI HII LEO MJINI DODOMA , MWANASHERIA MKUU AAPISHWA


 Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiapa Bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2015.
 Spika wa Bunge, Anne Makinda akiongozwa na Mpambe  kuingia kwenye ukumbi wa Bunge  Januari 27, 2015.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama,Bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2015.
 8741Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mwanasheria Mkuu wa serikali, George  Masaju (wapili kulia) baada ya mwanasheria huyo kuapishwa Bugeni mjini Dodoma Januari 27, 2015
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua nasari, Bungeni Mjini Dodoma Januri 27, 2015
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bariadi Mashariki John Momose Cheyo, Bungeni mjini Dodoma Januri 27, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Juliet Masaju (kulia) na Mbunge wa Viti Maalum, Felista Bura (katikati) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Januari 27, 2015.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na mbunge wa igalu, Mhandisi Athumani Mfutakamba (kushoto) na Mbunge wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Januari 27, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Nkasi, Ally Kessy kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma  Januari 27, 2015.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa