Home » » PICHA: MAZISHI YA MWANDISHI WATBC SAMWELI CHAMULOMO MJINI DODOMA LEO

PICHA: MAZISHI YA MWANDISHI WATBC SAMWELI CHAMULOMO MJINI DODOMA LEO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

  Mke wa Waziri mkuu,Mama tunu Pinda akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi

Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akitoa heshima zake za mwisho
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Chiku Galawa akitoa heshima za mwisho kwa  marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma,
 Mkurugenzi Mkuu wa TBC Bw. Clement Mshana na waombolezaji wengine wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma
 Baadhi ya Waandishi wa habari wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, 
 Baadhi ya Waandishi wa habari wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, 

iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma
 Baadhi ya Waandishi wa habari wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, 
 Baadhi ya Waandishi wa habari wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, 
 
 Mke wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa TBC, Samweli Chamulomo,Theresia Bura akimuaga kwa uchungu mpenzi mumewe marehemu Samweli Chamulomo kwenye ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma
 Jeneza lenye Mwili wa mwandishi wa habari wa TBC Samweli Chamulomo likiwekwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kikuyu mjini  Dodoma
Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara , akiweka shada la maua katika kaburi la mwandishi wa habari  wa TBC marehemu Samweli Chamulomo yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kikuyu mjini  Dodoma.
 Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

0 comments:

Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa