WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA:
0752 36 13 05.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA:
0752 36 13 05.
Organo Gold ni Kahawa ya kipekee yenye caffein kidogo sana asilimia 9 tu basi.
Badala
yake wameweka uyoga mwekundu na Alovera na kuifanya kuwa kinywaji
chenye afya kwa watu wote yani kila mtu hata watoto, n waajawazito.
ORGANO
GOLD imewekwa kiungo cha Uyoga mwekundu ambao unatajwa kama ''
Miraculous KING of Herbs'' na unapatikana na ndani kahawa ya Organo Gold
yenye ladha na kazi nyingi mwilini kwa kutibu magonjwa mengi ikiwemo-;
1. Kisukari
2. Pressure
3. Kuongeza kinga ya mwili.
4. Kupunguza uwezekano wa kupata saratani.
5.Kusaidia mzunguko wa damu.
6.Kuondoa sumu mwilini (Detoxification)
7.Inaimarisha kiwango cha usingizi ( kwa wenye tatizo la kukosa usingizi).
8.Nguvu za kiume.
9.Uwezo wa ubongo kufanya kazi.
10.Pumu.
11. Alergy
Na
mengine mengi unaweza kuingia mtandaoni uka google mtandaoni kuona
faida zake nyingi zaidi za kiungo hicho Uyoga mwekundu ''Organodema
Lucidium''.
WASILIANA NASI KUJIPATIA BIDHAA HIZI KWA NAMBA ZILIZOPO CHINI TUNATUMA PIA MIKOANI POPOTE ULIPO TANZANIA.
Kama
wewe ni mfanyabiashara au una ndoto ya kuwa mfanyabiashara hii ni fursa
kwako pia popote ulipo Tanzania kwani kwani kwa mtaji kidogo tu unaweza
kuwa wakala kwa kuuza Kahawa hii ya kipekee na ukajipatia kipato na
faida kubwa na kukuza biashara yako kwani utatambulika ndani na nje ya
nchi kwa kuwasaidia wengine kutumia Organo Gold na kutengeza kipato
kikubwa.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA:
0752 36 13 05.
NI RAHISI. NI KAHAWA.
0 comments:
Post a Comment