Home » » MAMA SAMIA AHUTUBIA DODOMA

MAMA SAMIA AHUTUBIA DODOMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

X3
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akimnadi mgombea Ubunge, wa Bahi Omari Badwel, mkutano wa kampeni uliofanyika leo kaika jimbo la Bahi mkoani Dodoma leo.
X2
Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Singida, akitoa shukrani baada ya yeye na vingozi wenzake, kuufikisha msafara wa Mgombea Mwenza, Mama Samia Suluhu Hassan, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, katika jimbo la Bahi mkaoni Dodoma.
D
Mgombea Ubung wa jimbo a Singida Kaskazini, Jonadhan Njau, akisalimia wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo, katika eneo la Makyungu, Ikungi, mkoani Singida.
X1
Umati wa wananchi ukimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo kaika jimbo la Bahi mkoani Dodoma leo.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa