Home » » ACT WAZALENDO YAZINDUA KAMPENI ZAKE WILAYANI BAHI MKOANI DODOMA

ACT WAZALENDO YAZINDUA KAMPENI ZAKE WILAYANI BAHI MKOANI DODOMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Mgombea Mwenza wa chama cha ACT wazalendo Hamad Yusufu akizungumza na wakazi wa Mayamaya kata ya Zanka wilayani Bahi mkoa wa Dodoma kwenye mkutano wa kuomba kura alipokuwa akimnadi Mgombea Urais wa chama hicho Anna Mghwila, mgombea ubunge wa jimbo hilo Eva Kaka na madiwani wa kata mbalimbali.
  Mgombea ubunge wa jimbo la Bahi Eva Kaka akimkabidhi fedha Mwalimu Joseph John mkazi wa Mayamaya kama kifuta machozi kutokana na mwalimu huyo kuunguliwa na majani kwa ajili ya malisho ya mifugo yake ambapo nyumba yake ilinusulika kuungua. 

 Katibu wa Mipango na uchaguzi wa ACT Mkoa wa Dodoma, Alyoce Ambokile akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza katika mkutono huo wa kuomba kura katika kata ya Zanka
 Mgombea Udiwani kupitia chama hicho kata mojawapo ya wilayani Bahi Anthon Lyamunda akiongea jambo kwenye mkutano huo
   Kaimu katibu  Witness Peter na Mweka hazina wake Ldya Molel wa ACT mkoa wa Dodoma wakiwa kwenye mkutano huo uliofanyika wilaya ya Bahi mkoani Dodoma
Viongozi wa ACT mkoa wa Dodoma wakipunga mikono
Wamanchi wa eneo ilo wakifuatilaia kwa makini mkutano wa ACT

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa