Home » » MKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI DODOMA KUHUSU UCHAGUZI MKUU

MKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI DODOMA KUHUSU UCHAGUZI MKUU

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 
 Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni Mstaafuu Chiku Gallawa akifanunua jambo alipokuwa akifungua mkutano wa chama cha waandishi wa habari na wadau mbalimbali uliofanyika mjini Dodoma
 Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoani Dodoma, Bw. Habel Chidawal akizungumza jambo kabla ya kumkaribisha Mkuu wa mkoa kufungua mkutano huo uliofanyika leo Mjini Dodoma

 Mwandishi wa kituo cha Televisheni ya Chanel Ten, Bw. Kuringe Mongi akitoa mada kuhusu Mahusiano kati ya waandishi wa habari na wadau mbalimbali vikiwemo vyama siasa, wagombea, jeshi la polisi pamoja na wasimamizi wa uchaguzi tunapoelekea uchaguzi mkuu.
 Mwandishi wa TBC Idd Maalimu akitoa mada kuhusu maadili ya waandishi wa habari katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Makamu Mwenyekiti wa CPC Rachel Chibwete akimshukuru mkuu wa mkoa mara baada ya kumaliza kufungua mkutano huo uliowakutanisha waandhishi wa habari pamoja na wadau mbalimbali kujadili masuala ya chaguzi.

 Wadau na waandishi wa habari wakiendelea kufuatilia kinachoendelea katika mkutano huo uliofanyika leo mjini Dodoma.
Picha ya Pamoja


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa