Home » » NEWS ALERT: RAIS MAGUFULI AMTEUA MH. KASSIM MAJALIWA KWA NAFASI YA WAZIRI MKUU

NEWS ALERT: RAIS MAGUFULI AMTEUA MH. KASSIM MAJALIWA KWA NAFASI YA WAZIRI MKUU

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, amepeleka Bungeni jina la Mbunge wa Jimbo la Rwangwa, Mh. Kassim Majaliwa kwa kupigiwa kura na Wabunge ili kuwa Warizi Mkuu wa Tanzania.
0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa