Home » » . MATUKIO KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

. MATUKIO KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399
Q1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Iramba Mashariki, Allan Kiula kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januai 23, 2016.
Q2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum,Azza Hillal Hamad kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januai 23, 2016.
Q3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum,Cecilia Daniel Paresso kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januai 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa