Home » » MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson akiingia Bungeni tayari kuongoza Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Mhe. Balozi Dkt Augustine Maiga akuungia Bungeni tayari kwa kuapishwa.
 Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson akimwapisha Mhe. Balozi Dkt Augustine Maiga. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye akifatilia Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe akijibu hoja toka kwa Wabunge mbalimbali katika  Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.January Makamba akijibu hoja toka kwa Wabunge mbalimbali katika  Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Baadhi ya wageni wakifatilia Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. Picha na Raymond Mushumbusi MAELEZO

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa