Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Kiembe Samaki Mh.Ibrahim Raza nje
ya jengo la Bunge mjini Dodoma hapo jana.Mh Raza amempongeza Mh Kassim
Majaliwa kwa uchapaji wake kazi na pia amemtaka kuendelea na kasi yao
kubwa ya kutumbua majipu kuhakikisha nchi yetu inapanda kiuchumi na pia
kuirudisha nchi katika mstari wa kuheshimu sheria za nchi na misingi
yake.
0 comments:
Post a Comment