Home » » MAKAMU MWENYEKITI WA CCM (BARA) MANGULA AKUTANA NA WAZIRI MAMBO YA NJE KUTOKA CHINA MJINI DODOMA

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM (BARA) MANGULA AKUTANA NA WAZIRI MAMBO YA NJE KUTOKA CHINA MJINI DODOMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara ) Mhe. Philip Mangula akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo wa CPC Mhe. Guo Yezhou mjini Dodoma ambapo walizungumzia mahusiano imara kati ya Tanzania na China pamoja na mipango mbali mbali ya kimaendeleo.
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dodoma Mhe. Adam Kimbisa akifafanua jambo wakati wa kikao cha Naibu Waziri wa Mbao ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Watu wa China Mhe. Guo Yezhou mjini Dodoma. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa