Home » » MATUKIO KATIKA PICHA LEO 24 MEI, 2016 BUNGENI, DODOMA.

MATUKIO KATIKA PICHA LEO 24 MEI, 2016 BUNGENI, DODOMA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira ambaye pia ni Mbunge Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Iringa Mjini, Mhe. Mchungaji Peter Simon Msigwa wakielekea Bungeni kwa ajili ya vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.


Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Sospeter Mwijarubi Muhongo akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.

 
Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Mikumi, Mhe. Joseph Leonard Haule akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.


Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi, Mhe. Andrew John Chenge (kulia) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakielkea ndani ya Bunge kwa ajili ya vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.

Naibu Waziri, Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge Jimbo la Ngorngoro, Mhe. William Tate Ole-Nasha akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.


Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe. Mary Machuche Mwanjelwa akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Mhe. Prof. Joyce Lazaro Ndalichako akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.

Naibu Waziri, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mb), Mhe. Eng. Edwin Amandus Ngonyani (kushoto) akiwa ameongozana na Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Eng. Hamad Yusuf Masauni wakielekea ndani ya Bunge kwa ajili ya vikao vya asubuhi vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa CCM Muleba Kaskazini, Mhe. Charles John Mwijage akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.


Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa CCM Jimbo la Kyela, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakiingia ndani ya Bunge kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya Bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.

Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa CCM Jimbo la Mwanga, Mhe. Prof. Jumanne Maghembe akiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhiria vikao ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge Jimbo la Ilemela, Mhe. Angeline Mabula (kulia) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakiingia ndani ya Bunge kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya Bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.

Mbunge wa CCM Jimbo la Kilolo, Mhe. Venance Mwamoto (kushoto) akiwa ameongozana na Wabunge wenzie wakiingia ndani ya Bunge kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya Bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (katikati) akiwa ameongozana na Wabunge wenzie wakiingia ndani ya Bunge kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya Bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.


Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhiria vikao ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.


Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde akiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhiria vikao ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.

Mbunge wa CCM Singida Kaskazini, Mhe. Lazaro Nyalandu akiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.


Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe. Halima Bulembo akiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.


Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa CCM Jimbo la Iramba Magharibi, Mhe. Mwigulu Nchemba akiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.


Mbunge wa CCM Jimbo la Songwe, Mhe. Philipo Mulugo (kushoto0 akiwa na Mbunge mwenzie wakiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.

Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Mhe. Lucy Owenya (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.

(Picha zote na Benedict Liwenga, MAELEZO, Dodoma)

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa