Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(Mb) akiongoza
kikao kazi cha Watendaji Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Kikao
hicho kimefanyika leo Mei 30, 2016 katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi
la Polisi Mkoani Dodoma(kulia) ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira.
Wakuu
wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani). Wa pili kulia ni Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza, CGP, John Casmir Minja(kulia) ni Naibu
Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, DIGP, Abdulrahmani Kaniki(wa
kwanza kushoto) ni Kaimu Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji,
Victoria Lembeli(wa pili kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji, Thobias Adengenye.
Watendaji
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na Maafisa Waandamizi wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakifuatilia kwa makini kikao kazi
kilichofanyika chini ya Uenyekiti wake Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni leo Mei 30, 2016 Mkoani Dodoma(Picha zote
na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
0 comments:
Post a Comment