Home » » PICHA: MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI DODOMA LEO

PICHA: MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI DODOMA LEO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo, Mhe. Ummy Mwalimu (IMb) akisoma taarifa ya Bajeti ya Wizara yake Bungeni mjini Dodoma, 11 Mei, 2016.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (kushoto) akiteta jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bungeni mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (kushoto) akifurahi na Wabunge wenzie nje ya Bunge mjini Dodoma.

PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO, DODOMA.0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa