Home » » KWAYA YA VIJANA KKKT DAYOSISI YA IRINGA ILIYOSHIKA NAFASI YA PILI KIUIMBAJI TAIFA IKIWA BUNGENI MJINI DODOMA

KWAYA YA VIJANA KKKT DAYOSISI YA IRINGA ILIYOSHIKA NAFASI YA PILI KIUIMBAJI TAIFA IKIWA BUNGENI MJINI DODOMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
kwaya  ya  vijana wa kanisa la  kiinjili  la  kilutheri  Tanzania (KKKT) Dayosisi ya  Iringa wakiwa bungeni  mjini  Dodoma juni 8 mwaka  huu   baada ya  kumaliza mashindano  yao  ya  uimbaji  kitaifa  yaliyofanyika Kanisa la  Martin Luther  mjini hapa na  kwaya  hiyo   kushika nafasi ya  pili  kitaifa picha na Richard Mwaikenda
Waimbaji  wa kwaya  ya  vijana   wakiwa  wamesimama  wakati  wakitambulishwa na naibu spika bungeni jana
Mbunge   wa jimbo la  Kilolo Bw  Venance Mwamoto  katikati aliyevaa tai akiwa na mbunge wa viti maalum  mkoa wa Iringa Ritta Kabati katika  picha ya  pamoja  na waimbaji wa kwaya ya  vijana  KKKT dayosisi ya  Iringa walipotembelea  bunge Juni 8 mwaka  huu (picha na Richard Mwaikenda

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa