Waziri
wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako,
kifurahia jambo wakati alipokutana na Mwenyekiti wa “Nathan Mpangala
Foundation (NMF),” ambaye pia ni mchora vibonzo wa ITV, Nathan Mpangala
(katikati) na Mkurugenzi wa “Education Improvement Trust Fund (EITF),” Joseph Chikaka, Jumamosi iliyopita mjini Dodoma. NMF yenye lengo la kuwawezesha vijana kujifunza mambo mbalimbali kupitia sanaa kwa kushiriki kwa vitendo ilitumia ziara hiyo kujifunza uzoefu na kuona ni maeneo gani programu zake zinahusiana na somo la stadi za kazi. (Picha: NMF)
0 comments:
Post a Comment