Home » » MAJALIWA APOKEA MADAWATI

MAJALIWA APOKEA MADAWATI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipokea mchango wa sh.  milioni 5.5 kutoka kwa Mhasibu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Rose Makange (katikati)ukiwa ni mchango wa watumishi wa TAMISEMI kwa ajili ya madawati wilayani Ruangwa. Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu, mjini Dodoma Februari 14, 2017. Kulia ni Rose Nyoni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) baada ya kupokea  Sh. milioni 5.5 ukiwa ni mchango wa watumishi wa Ofisi hiyo kwa ajili ya madawati wilayani Ruangwa. Makabidhiano  hayo yalifanyika, Ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dodoma Februari 14, 2017. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) baada ya kupokea mchango wa watumishi hao wa sh. milioni 5.5 kwa ajili ya madawati wilayani Ruangwa. Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dodoma  Februari 14, 2017. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na  baadhi ya watumishi wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) baada ya kupokea mchango wa watumishi hao wa sh. milioni 5.5 kwa ajili ya madawati wilayani Ruangwa. Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dodoma  Februari 14, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa