Home » » KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO (IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII) BIBI SIHABA NKINGA AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA SHIRIKA LA ‘WORLD EDUCATION INITIATIVE’ OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO (IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII) BIBI SIHABA NKINGA AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA SHIRIKA LA ‘WORLD EDUCATION INITIATIVE’ OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu Maendeleo ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga (wa pili kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la ‘World Education Initiative’ Bi Lilian Badi (hayupo pichani) walipofika kutambulisha programu ya ‘Waache Wasome’ katika Ofisi ya Wizara iliyoko UDOM Dodoma leo Agosti 04, 2017
Mkurugenzi wa Maendeleo ya  Watoto Bibi Magreth Musai (katikati) akichangia hoja katika kikao kati ya  Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu Maendeleo ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga(kulia) na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la World Education Initiative Bi Lilian Badi( wa pili kushoto)  walipofika kutambulisha programu ya ‘Waache Wasome’ katika Ofisi ya Wizara iliyoko UDOM Dodoma leo Agosti 04, 2017.
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la World Education Initiative Bi Lilian Badi(katikati) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu Maendeleo ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga(hayupo pichani) walipofika kutambulisha programu ya ‘Waache Wasome’ katika Ofisi ya Wizara iliyoko UDOM Dodoma leo Agosti 04, 2017.


Picha na Erasto Ching’oro WAMJW

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa