Home » » KAMPUNI YA ALAF YATOA MABATI 500 KWA SHULE YA MSINGI HUZI, DODOMA

KAMPUNI YA ALAF YATOA MABATI 500 KWA SHULE YA MSINGI HUZI, DODOMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Mbunge wa Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde kulia  akipokea
 sehemu ya Msaada wa mabati 500 kwa ajili ya kuezeka kwenye majengo ya shule hiyo baada ya kuezuliwa na upepo kutoka kwa meneja wa ALAF tawi la Dodoma  Grayson Mwakasege.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Shule ya msingi Huzi, Mbunge wa Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde akiwa na ujumbe wake pamoja na walimu wakikagua eneo la majengo ya shule hiyo lililoezuliwa mapaa na upepo hivi karibuni.
Muenekano wa Majengo ya shule ya Msingi Huzi yakiwa hayana mapaa kutokana baada ya kuezuliwa na upepo.
Kibao cha shule ya msingi Huzi.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa