Home » » BALOZI WA KUWAIT ASHIRIKI KATIKA KONGAMANO LA CHAKAMA

BALOZI WA KUWAIT ASHIRIKI KATIKA KONGAMANO LA CHAKAMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe akizungumza katika Kongamano la Kimataifa la Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAKAMA), Dodoma


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba (kushoto) akizungumza jambo na Balozi wa Kuwait nchini  Mhe. Jasem Al-Najem mara walipokutana katika Kongamano la Kimataifa la Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAKAMA), Dodoma


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Kuwait nchini  Mhe. Jasem Al-Najem mara walipokutana katika Kongamano la Kimataifa la Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAKAMA), Dodoma

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe (katikati walio kaa) katika pich ya pamoja na maafisa mbalimbali wa serikali, kuanzia kushoto waliokaa ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba na Balozi wa Kuwait nchini  Mhe. Jasem Al-Najem.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa