Home » » DK MABOKO AFUNGUA KIKAO CHA USAMBAZAJI WA RIPOTI YA TATHMINI YA MAZINGIRA YA KISHERIA KATIKA MWITIKIO WA UKIMWI MKOANI DODOMA

DK MABOKO AFUNGUA KIKAO CHA USAMBAZAJI WA RIPOTI YA TATHMINI YA MAZINGIRA YA KISHERIA KATIKA MWITIKIO WA UKIMWI MKOANI DODOMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dk.Leonard Maboko akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kwa ajili ya usambazaji wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa ukimwi kilichoanza leo Mkoani Dodoma.
Washiriki wa kikao kwa ajili ya usambazaji wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa ukimwi wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dk.Leonard Maboko(hayupo pichani) wakati akizungumzia hali ya maambukizi ya UKIMWI nchini.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa