Home » » MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO APRIL 9, 2018

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO APRIL 9, 2018

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza wakati wa Mkutano wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, elo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akijibu maswali ya wabunge, wakati wa Mkutano wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. William Ole Nasha akijibu hoja za wabunge, wakati wa Mkutano wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimweleza jambo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, wakati wa Mkutano wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza Mkutano wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.

 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa