Home » » Picha Mbalimbali Kutoka Bunge Maalum La Katiba Mjini Dodoma LEO

Picha Mbalimbali Kutoka Bunge Maalum La Katiba Mjini Dodoma LEO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399



 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Ibrahim Haruna Lipumba(kushoto) na Freeman Mbowe(kulia)  wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wakielekea katika kikao cha Bunge hilo.
 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Dkt. Fenella Mukangara(kulia) na Anne Kilango Malechela(kushoto) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya kuharishwa kwa kikao cha Bunge hilo.
 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma  na waandishi wa habari kabla ya kikao cha Bunge hilo.
Mwenyekiti wa  Bunge Maalum la Katiba  Samwel Sitta akitoka nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya kuharishwa kwa kikao cha Bunge hilo leo mjini Dodoma.Picha na Tiganya Vincent, Dodoma.
.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa