Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Leo bunge limefanya uchaguzi wa wabunge
watakaosimamia taasisi ya bunge pamoja na wabunge ambao wataiwakilisha
Tanzania katika nchi washirika wa maendeleo.
Ambao wamechaguliwa katika tume ya utumishi
wa bunge ni pamoja na Kangi Lugola,Mussa Zungu,Fakhari Shomari
Khamis,Mary Chatanda,Salim Hassan Mtuki na upande wa upinzani
utawakilishwa na Magdalena Sakaya pamoja na Mchungaji Peter Msigwa.
Bunge la Afrika litakuwa na uwakilishi wa
wabunge wafuatao Mboni Mhita,Asha Abdula Juma,Dkt. Faustine
Ndugulile,Steven Masele na upande wa upinzani utawakilishwa na David
Silinde.
Jukwaa la wabunge kusini mwa Afrika (SADC)
ni pamoja na wafuatao Jamal Kassim Ali,Ester Michael Mmasi,Selemani
Jumanne Zedi,Ali Sale Ali, na Magreth Sitta.
Kwa upande wa Bunge la jumuia ya madola
Tanzania itawakilishwa na Amina Mollel,Maria Kangoye,Zainabu Vulu,Khamis
Mtumwa Ali,Salim Rhehani,Jitu Soni,Josephat Kandege, Immaculate,
Raphael Chegeni,Juma Omari na Tundu Lissu.
Aidha umoja wa mabunge duniani Tanzania
itawakilishwa na Pudensiana Kikwembe,Mohamed Chengella,Peter Serukamba,
Juma Othman na Susan Lyimo.
0 comments:
Post a Comment