Home » » BREAKING NEWSS::LIPUMBA NA PAMOJA NA WABUNGE WENZAKE WA CHAMA CHA CUF WAMEACHA KIKAO CHA BUNGE LA KATIBA NA KUTOKA NJE

BREAKING NEWSS::LIPUMBA NA PAMOJA NA WABUNGE WENZAKE WA CHAMA CHA CUF WAMEACHA KIKAO CHA BUNGE LA KATIBA NA KUTOKA NJE

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mwenyekiti wa Cuf bara Ibrahimu Lipumba ametoka nje ya bunge maalumu la katiba huku wabunge wengine wa cuf wakimfuata,chanzo cha wao kutoka nje ni pale alipochangia hoja na kumalizia kwa kusema wanahitaji kujua gharama za marekebisho ya jengo hilo la bunge hivyo CAG aitwe na jae aeleze.Tutakuletea taarifa zaidi endelea kuwa nasi

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa