Home »
» Naibu Spika Dk. Tulia Aosha Magari ya Wabunge, Mawaziri kuwaunga mkono waandishi wa habari
Naibu Spika Dk. Tulia Aosha Magari ya Wabunge, Mawaziri kuwaunga mkono waandishi wa habari
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
|
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson
Mwansasu (kushoto) akiosha moja ya magari ya wabunge na Naibu Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi
Kigwangalla (kulia) kuwaunga mkono
waandishi wa habari katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya
kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika
jana katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Katika zoezi hilo Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson alichangia shilingi milioni tano na Dk. Kigwangalla shilingi milioni moja. |
|
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson
Mwansasu (katikati) akiosha moja ya magari ya wabunge na Naibu Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi
Kigwangalla (kulia) kuwaunga mkono
waandishi wa habari katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya
kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika
jana katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa kampeni ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For Health’, Benjamin Thompson. |

Naibu Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi
Kigwangalla (kulia) akiosha gari na Miss Tanzania 2014/15, Lilian
Kamazima (kushoto) kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya
waandishi wa habari nchini. Katika tukio hilo Dk. Hamisi Kigwangalla alichangia shilingi milioni moja. |
|
Naibu Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi
Kigwangalla akiosha gari katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya
kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika
jana katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. |
|
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu katika
tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya
waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika jana katika Uwanja wa
Jamhuri Jijini Dodoma. Katika tukio hilo Dk. Tulia Ackson alichangia kiasi cha shilingi milioni moja. |
|
Naibu Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu
(kushoto), Msanii wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel (kulia) na Miss Tanzania
2014/15, Lilian Kamazima (katikati) wakiosha moja ya magari ya wabunge
na wadau wengine kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya
waandishi wa habari nchini. |
|
Naibu Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu
(kulia) akiosha moja ya magari ya wabunge kuwaunga mkono waandishi wa
habari katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya
afya waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika jana katika
Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. |
|
Mwenyekiti wa
Bunge Sports, William Ngeleja (aliyeshika kipaza sauti) akizungumza
kuwapongeza waandaaji wa kampeni ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari
‘Media Car Wash For Health’ asubuhi katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Kulia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.
Tulia Ackson Mwansasu na Mwenyekiti wa kampeni ya Okoa Maisha ya
Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For Health’, Benjamin Thompson
(katikati). Katika zoezi hilo Ngeleja alichangia shilingi laki moja huku timu ya bunge ikichangia shs milioni moja. |
|
Mwenyekiti wa
kampeni ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For
Health’, Benjamin Thompson (katikati) akizungumza katika zoezi la kuosha
magari kwenye kampeni maalumu ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari
‘Media Car Wash For Health’ ikiwa na lengo la kuchangisha fedha kwa
ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini. Kulia ni
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia
Ackson na Mwenyekiti wa Bunge Sports, William Ngeleja (kushoto). |
|
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu (kulia) akizungumza kuwapongeza
waandaaji wa kampeni ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari ‘Media Car
Wash For Health’ asubuhi katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Dk. Tulia
alichangia shs milioni tano. |
|
Naibu Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu
(kushoto) akiosha moja ya magari ya wabunge kuwaunga mkono waandishi wa
habari katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya
afya waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika jana katika
Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. |
|
Mmoja wa wasanii
wa muziki akijitolea kuosha moja ya magari ya wabunge na wadau wengine
kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa
habari nchini. |
|
Mmoja
wa wasanii wa muziki akijitolea kuosha moja ya magari ya wabunge na
wadau wengine kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya
waandishi wa habari nchini. |
|
Naibu Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi
Kigwangalla (katikati) akimkabidhi hudi ya shs milioni moja Mwenyekiti
wa kampeni ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For
Health’, Benjamin Thompson (kushoto) kwa ajili ya kuchangia fedha
kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini. Kulia ni Mratibu wa
zoezi hilo. |
|
Miss
Tanzania 2014/15, Lilian Kamazima (kulia) na Mkurugenzi wa Utafiti na
Masoko wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Athuman Rehani
(kushoto) wakijitolea kuosha magari kwenye kampeni hizo. NHIF waliosha
gari lao kwa shs 100,000/-. |
0 comments:
Post a Comment