Home » » VIDEO - WAFANYABIASHARA WADOGO DODOMA KUNUFAIKA NA MPANGO WA SERIKALI KUHAMIA DODOMA

VIDEO - WAFANYABIASHARA WADOGO DODOMA KUNUFAIKA NA MPANGO WA SERIKALI KUHAMIA DODOMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan , amewataka viongozi wa mkoa wa Dodoma wahakikishe wanatenga haraka maeneo maaluma kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo ili nao waweza kunufaika na mpango wa Serikali kuhamia mkoani Dodoma , Kwa undani wa habari hii bonyeza play.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa