Na Dotto Kwilasa, Dodoma

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban 
Kihulla, amesema kuwa moja ya mafanikio makubwa
 na ya kihistoria ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan
 katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake ni 
\kuajiri wafanyakazi 186, jambo ambalo limeleta
 mabadiliko makubwa katika ufanisi wa taasisi hiyo.

Kihulla ameeleza haya wakati akitoa ripoti ya mafanikio ya 
Serikali katika kipindi cha miaka minne ya utawala wa 
Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Ukumbi wa Idara ya 
Habari-MAELEZO, Jijini Dodoma.
Amesema kuwa,