Home » » DC MAVUNDE AIASA JAMII KUACHA UKATILI DHIDI YA WATOTO‏

DC MAVUNDE AIASA JAMII KUACHA UKATILI DHIDI YA WATOTO‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde akizungumza wakati wa tamasha la kupinga na kukataa vitendo vya kikatili dhidi ya watoto, lililofanyika katika viwanja vya mnara wa Mashujaa Mpwapwa.
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde (kushoto) akizungumza jambo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Jacob Erasto Chimeledya wakati wa maadhimisho hayo ya kupinga na kukataa vitendo vcya ukatili kwa watoto.

 Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde akizungumza
 Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Jacob Erasto  Chimeledya akizungumza katika hadhara hiyo.
 Burudani mbalimbali zilitolewa na vikundi kwa kwaya.
 Meza kuu ikifuatilia burudani hizo.

Watoto nao walitoa burudani.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa