Home » » MHARIRI WA GAZETI LA MTANZANIA,KHAMIS MKOTYA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE KUPAMBANA NA NKAMIA JIMBO LA CHEMBA,DODOMA‏

MHARIRI WA GAZETI LA MTANZANIA,KHAMIS MKOTYA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE KUPAMBANA NA NKAMIA JIMBO LA CHEMBA,DODOMA‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania,Khamis Mkotya akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge katika wilaya ya Chemba kutoka kwa Katibu wa Wilaya hiyo CCM,Asia Mohammed jana katika ofisi za chama hicho wilayani Kondoa.
(Picha na Ramadhan Hassan)
Mhariri Msanifu wa gazeti la mtanzania Khamis Mkotya akionesha fomu alizokadhiwa jana katika ofisi za chama hicho Wilayani Kondoa za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa na Chama cha Mapinduzi kugombea Ubunge katika Jimbo la Chemba. (Picha na John Banda)

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa