Home » » PICHA: MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI MJINI DODOMA.

PICHA: MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI MJINI DODOMA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
            Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora , Angela   Kairuki akiteta na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Ashatu  Kijaji bungeni mjini Dodoma Januari 25, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majalaliwa akisalimiana na Mbunge wa Nkansi Ally Kessy kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Januari 25, 2016.

 Waziri Mkuu, Kassim Majalaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbozi Magharibi, David Silinde kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Januari 25, 2016. Katikati ni Mbunge wa Nkansi, Ally Kessy.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Songwe, Philip Mulugo kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 25, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wazee kutoka jimbo la Chemba Ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Januari 25,2016. Kushoto kwake ni Mbunge wa Chemba Juma Nkamia. 

 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa