Home » » PICHA: MWILI WA MPENDWA WETU ANDREW NICKY SANGA (KING DREW) WAWASILI NYUMBANI KWAO DODOMA USIKU HUU KWA AJILI YA MAZISHI HAPO KESHO

PICHA: MWILI WA MPENDWA WETU ANDREW NICKY SANGA (KING DREW) WAWASILI NYUMBANI KWAO DODOMA USIKU HUU KWA AJILI YA MAZISHI HAPO KESHO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Baba Mzazi wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga akiwa anapokelewa Baada ya Kuwasili Dodoma Usiku huu
 Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga  ukiwa unaingia nyumbani kwao Dodoma Ukitokea Dar es salaam baada ya kutua Jana kutoka Marekani
 Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga ukiwa unakaribia kuingizwa nyumbani kwao usiku huu
 Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga ukiwa umeshaingizwa ndani mwao usiku huu
 Majonzi yakiwa yametawala nyumbani kwa wazazi wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga baada ya mwili kuwasili
 Mama Zoe akiwa na majonzi baada ya kuwasili katika nyumba ya wazazi wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga
 Mtumishi wa Mungu akiwa anafanya maombezi ya kushukuru kwa ndugu wote waliosafiri kufika salama
 Ndugu jamaa na Marafiki wakiwa katika Msiba wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga usiku huu Dodoma

Picha zote na Fredy Njeje

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa