Home » » KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAENDELEA KUUJADILI MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI 2016 MJINI DODOMA.

KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAENDELEA KUUJADILI MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI 2016 MJINI DODOMA.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii pamoja na viongozi wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo wakiwa katika kikao cha kujadiliana kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 ambapo wamejadili na kupitia kifungu kwa kifungu katika Muswada huo leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa