Home » » KATIBU MKUU UTUMISHI AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA MADEREVA WA SERIKALI

KATIBU MKUU UTUMISHI AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA MADEREVA WA SERIKALI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro  (mwenye tai) katika picha ya pamoja na uongozi wa Chama cha Madereva wa Serikali (CMSP) mara baada ya kujadili masuala mbalimbali ya kiutendaji ofisini kwake mjini Dodoma leo.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa