Home » » PICHA: WANAFUNZI WAKIPATIWA ELIMU KUHUSU BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA MJINI DODOMA.

PICHA: WANAFUNZI WAKIPATIWA ELIMU KUHUSU BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA MJINI DODOMA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 
Afisa Habari wa Bunge, Ndg. Patson Sobha (kushoto)akizungumza na wanafunzi wa  Shule ya Msingi ya Maria de Mattias iliyopo kisasa Mjini Dodoma walipotembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea  leo kwenye Viwanja vya Nzunguni, Mjini Dodoma.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa