Home » » WAGENI MBALI MBALI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE MJINI DODOMA.

WAGENI MBALI MBALI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE MJINI DODOMA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Mkurugenzi Msaidizi wa Bunge, Ndg. Neema kiula (kushoto)akitoa maelezo kuhusu vazi rasmi la Spika akiwa anaendesha vikao vya Bunge, pale wageni Mbali mbali walipotembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzunguni Mjini Dodoma.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa