Home » » ERIKALI YA UINGEREZA : MSHIRIKA KATIKA PROGRAMU ZA MABADILIKO KATIKA UTUMISHI WA UMMA

ERIKALI YA UINGEREZA : MSHIRIKA KATIKA PROGRAMU ZA MABADILIKO KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiwa katika kikao ofisini kwake Dodoma na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke. 
 Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke (kulia), pamoja na ujumbe wake, wakiwa katika kikao na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) haonekani pichani, mjini Dodoma. 
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akijadli masuala ya utumishi na utawala bora pamoja Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke, Dodoma.



0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa