Mbunge Mteule wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akifanya mazoezi ya kula kiapo Bungeni mjini Dodoma jana mchana baada ya kuhairishwa kwa kikao cha asubuhi cha Bunge. Mbunge huyo na mwenzake Cecilia Paresso wote wa Chadema walishindwa kutokea jana baada ya kuitwa na Spika wa Bunge Anna Makinda tayari kwa kula kiapo. Kwa ratiba iliyopo wabunge hao watakula kiapo leo katika kikao cha asubuhi.
Picha kwa hisani ya MO BLOG
Picha kwa hisani ya MO BLOG
0 comments:
Post a Comment