Home » » Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!"- William Malecela

Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!"- William Malecela







Well, Heshima mbele sana JF KUMKOMA NYANI, leo kwenye uchaguzi wa
Ubunge wa EAC nimeshindwa fairly na sina malalamiko, ninawapa hongera
washindi wote walioshinda leo na hasa my best Friends Shyrose, Dulla, na
Makongoro, MUNGU AWAONGEZEE NA WAKATUMIKIE VYEMA TAIFA LETU!


- AS FOR ME SASA NI WAKATI WA KUKAA CHINI NA KUTAFAKARI NILIPOKOSEAA NA
KUANZA KUJIPANGA UPYA, NINAWASHUKURU BAADHI YA JFs WALIONISAIDIA KWA
HALI NA MALI, MBARIKIWE!


- WAKUU WANGU MWANAKIJIJI, INVISIBLE NA HALISI, SINA CHA KUWALIPA KWA
ALL YOU DID KATIKA KUNISAIDIA NA KAMPENI, WOTE MBARIKIWE NA MUNGU WA
MBINGUNI NA JF WOTE MBARIKIWE, THIS IS MY HOME SO TUNAENDELEA KAMA
KAWAIDA!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKI JF!"


William @Dodoma City!- Chanzo- jamiiforums.com

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa