Home » » SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA KATIBU MKUU KIONGOZI OFISINI KWAKE DODOMA LEO

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA KATIBU MKUU KIONGOZI OFISINI KWAKE DODOMA LEO

Spika wa Bunge,Mhe. Anne Makinda akisalimiana na katibu Mkuu kiongozi,Balozi Ombeni Sefue mara baada ya kumaliza mazungumzo naye Ofisini kwake Dodoma leo. Balozi Sefua alimtembelea Spika wa Bunge Ofisi kwake mjini Dodoma kwa ziara ya kikazi.
Spika wa Bunge,Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo na katibu Mkuu kiongozi,Balozi Ombeni Sefue Ofisini kwake Dodoma leo. Balozi Sefua alimtembelea Spika wa Bunge Ofisi kwake mjini Dodoma kwa ziara ya kikazi. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa